-
Waamuzi 20:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Kisha wanaume 10,000 mashujaa kutoka kotekote Israeli wakaja mbele ya Gibea, na mapigano yakawa makali. Lakini Wabenjamini hawakujua kwamba walikuwa karibu kuangamizwa.
-