-
Waamuzi 20:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Lakini ile ishara ya wingu la moshi ikaanza kupanda kutoka jijini. Wabenjamini walipogeuka, waliona moto ukiteketeza jiji lote na moshi ukipanda angani.
-