-
Waamuzi 20:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Wakawazingira Wabenjamini na kuwafuata himahima. Wakawakanyaga-kanyaga mbele ya Gibea, upande wa mashariki.