Waamuzi 20:45 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 45 Basi wanaume Wabenjamini wakageuka na kukimbilia nyikani kwenye mwamba wa Rimoni,+ na Waisraeli wakawaua Wabenjamini 5,000 kwenye barabara kuu, nao wakaendelea kuwafuatia mpaka Gidomu; wakawaua wanaume wengine 2,000.
45 Basi wanaume Wabenjamini wakageuka na kukimbilia nyikani kwenye mwamba wa Rimoni,+ na Waisraeli wakawaua Wabenjamini 5,000 kwenye barabara kuu, nao wakaendelea kuwafuatia mpaka Gidomu; wakawaua wanaume wengine 2,000.