-
Waamuzi 21:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Basi Waisraeli wakahuzunika kwa sababu ya mambo yaliyowapata ndugu zao Wabenjamini. Wakasema, “Leo kabila moja limekatwa kutoka Israeli.
-