Waamuzi 21:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Miongoni mwa wakaaji wa Yabesh-gileadi walipata mabikira 400 ambao hawajawahi kufanya ngono na mwanamume. Basi wakawaleta kambini huko Shilo,+ katika nchi ya Kanaani.
12 Miongoni mwa wakaaji wa Yabesh-gileadi walipata mabikira 400 ambao hawajawahi kufanya ngono na mwanamume. Basi wakawaleta kambini huko Shilo,+ katika nchi ya Kanaani.