Waamuzi 21:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Basi hivyo ndivyo wanaume Wabenjamini walivyofanya; walijichukulia wake miongoni mwa wanawake waliokuwa wakicheza dansi. Kisha wakarudi katika urithi wao, wakajenga tena majiji yao,+ na kuishi humo.
23 Basi hivyo ndivyo wanaume Wabenjamini walivyofanya; walijichukulia wake miongoni mwa wanawake waliokuwa wakicheza dansi. Kisha wakarudi katika urithi wao, wakajenga tena majiji yao,+ na kuishi humo.