-
Ruthu 1:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Rudini, binti zangu. Nendeni, kwa maana nimezeeka sana siwezi kuolewa tena. Hata kama ningetumaini kupata mume usiku wa leo na kuzaa watoto pia,
-