Ruthu 2:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Angalia shamba wanalovuna, nawe uwafuate. Nimewaamuru wale vijana wa kiume wasikuguse.* Ukihisi kiu, nenda kwenye mitungi ya maji ukanywe maji yaliyotekwa na hao vijana.” Ruthu Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 2:9 Mnara wa Mlinzi,3/15/1987, uku. 5
9 Angalia shamba wanalovuna, nawe uwafuate. Nimewaamuru wale vijana wa kiume wasikuguse.* Ukihisi kiu, nenda kwenye mitungi ya maji ukanywe maji yaliyotekwa na hao vijana.”