Ruthu 2:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Boazi akamjibu: “Nimeambiwa mambo yote uliyomfanyia mama mkwe wako baada ya mume wako kufa na jinsi ulivyomwacha baba yako na mama yako na nchi ya watu wako wa ukoo ukaja kwa watu ambao hukuwajua.+ Ruthu Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 2:11 w12 7/1 28 Ruthu Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 2:11 Igeni, uku. 41 Mnara wa Mlinzi,7/1/2012, uku. 28
11 Boazi akamjibu: “Nimeambiwa mambo yote uliyomfanyia mama mkwe wako baada ya mume wako kufa na jinsi ulivyomwacha baba yako na mama yako na nchi ya watu wako wa ukoo ukaja kwa watu ambao hukuwajua.+