-
Ruthu 2:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Naomi akamwambia Ruthu binti mkwe wake: “Binti yangu, ni afadhali ufuatane na wafanyakazi wake wasichana, usije ukasumbuliwa katika shamba lingine.”
-