-
Ruthu 3:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Basi Boazi akala, akanywa, na kuchangamka moyoni. Kisha akaenda kulala mwisho wa rundo la nafaka. Kisha Ruthu akaja kimyakimya, akamfunua miguu, na kulala hapo.
-