-
Ruthu 3:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Katikati ya usiku, mwanamume huyo alianza kutetemeka, akaketi na kumwona mwanamke amelala miguuni pake.