-
Ruthu 4:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Halafu wanawake wakamwambia Naomi: “Yehova na asifiwe, ambaye hakukuacha bila mkombozi leo. Jina la mwana huyo na litangazwe katika Israeli!
-