-
1 Samweli 1:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Alikuwa na wake wawili, mmoja aliitwa Hana na mwingine aliitwa Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na watoto.
-