-
1 Samweli 1:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Hana alikuwa akisali moyoni mwake, midomo yake tu ndiyo iliyokuwa ikitetemeka, lakini sauti yake haikusikika. Basi Eli akafikiri kuwa amelewa.
-