1 Samweli 2:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Humwinua mtu wa hali ya chini kutoka mavumbini;Humwinua maskini kutoka katika rundo la majivu,*+Ili awafanye wakae pamoja na wakuu,Na kuwapa kiti cha heshima. Nguzo za dunia ni za Yehova,+Naye huweka nchi inayozaa juu yake.
8 Humwinua mtu wa hali ya chini kutoka mavumbini;Humwinua maskini kutoka katika rundo la majivu,*+Ili awafanye wakae pamoja na wakuu,Na kuwapa kiti cha heshima. Nguzo za dunia ni za Yehova,+Naye huweka nchi inayozaa juu yake.