-
1 Samweli 3:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Akakimbia kwa Eli na kusema, “Nimekuja, kwa kuwa umeniita.” Lakini Eli akasema: “Sikukuita. Rudi ukalale.” Basi akaenda kulala.
-