-
1 Samweli 3:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Yehova akaita tena mara ya tatu: “Samweli!” Basi akaamka, akaenda kwa Eli na kumwambia: “Nimekuja, kwa kuwa umeniita.”
Ndipo Eli akatambua kwamba ni Yehova aliyekuwa akimwita mvulana huyo.
-