-
1 Samweli 3:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Eli akamuuliza, “Alikupa ujumbe gani? Tafadhali, usinifiche. Mungu na akuadhibu, tena vikali, ukinificha neno hata moja kati ya maneno yote ambayo alikwambia.”
-