-
1 Samweli 4:1Biblia TakatifuāTafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Na neno la Samweli likawafikia Waisraeli wote.
Kisha Waisraeli wakaenda kupigana na Wafilisti; wakapiga kambi kando ya Ebenezeri, na Wafilisti walikuwa wamepiga kambi Afeki.
-