- 
	                        
            
            1 Samweli 4:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        2 Wafilisti wakajipanga kivita ili kupigana na Waisraeli, lakini mambo yakawaendea vibaya Waisraeli vitani, nao wakashindwa na Wafilisti, ambao waliwaua wanaume wapatao 4,000 kwenye uwanja wa vita. 
 
-