-
1 Samweli 4:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Eli aliposikia vilio hivyo, akauliza: “Kelele hizo za machafuko ni za nini?” Mtu huyohuyo akafika haraka na kumwambia Eli habari hizo.
-