-
1 Samweli 4:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Mara tu alipotaja Sanduku la Mungu wa kweli, Eli akaanguka nyuma kutoka kwenye kiti chake kando ya lango, na shingo yake ikavunjika naye akafa, kwa sababu alikuwa amezeeka na alikuwa mzito. Alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka 40.
-