1 Samweli 6:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Mnapaswa kutengeneza sanamu za bawasiri zenu na sanamu za panya+ wenu wanaoiharibu nchi, nanyi mnapaswa kumheshimu Mungu wa Israeli. Labda atapunguza adhabu ya mkono wake dhidi yenu na dhidi ya mungu wenu na nchi yenu.+
5 Mnapaswa kutengeneza sanamu za bawasiri zenu na sanamu za panya+ wenu wanaoiharibu nchi, nanyi mnapaswa kumheshimu Mungu wa Israeli. Labda atapunguza adhabu ya mkono wake dhidi yenu na dhidi ya mungu wenu na nchi yenu.+