-
1 Samweli 6:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Watu hao wakafanya hivyo. Wakachukua ng’ombe wawili wanaonyonyesha, wakawafunga kwenye gari hilo, na kuwafungia ndama wao nyumbani ndani ya zizi.
-