-
1 Samweli 6:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Watu wa Beth-shemeshi walikuwa wakivuna ngano katika bonde tambarare. Walipoinua macho yao na kuona lile Sanduku, wakashangilia sana kuliona.
-