-
1 Samweli 9:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Wakapita katika eneo lenye milima la Efraimu na katika nchi ya Shalisha, lakini hawakuwapata. Wakasafiri kupitia nchi ya Shaalimu, lakini hawakuwapata punda huko. Wakapita katika nchi yote ya Wabenjamini, lakini hawakuwapata.
-