-
1 Samweli 9:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Kisha Samweli akamchukua Sauli na mtumishi wake, akawaleta katika ukumbi wa kulia chakula, akawapa mahali pa kuketi mbele ya watu walioalikwa wapatao 30.
-