-
1 Samweli 9:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Basi mpishi akainua ule mguu na nyama iliyokuwa juu yake, akauweka mbele ya Sauli. Samweli akasema: “Kilichokuwa kimehifadhiwa kimewekwa mbele yako. Kula, kwa maana kilihifadhiwa kwa ajili yako katika karamu hii. Kwa sababu niliwaambia, ‘Nimewaalika wageni.’” Basi Sauli akala pamoja na Samweli siku hiyo.
-