-
1 Samweli 9:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Wakaamka mapema, na kulipopambazuka, Samweli akamwita Sauli kutoka paani akisema: “Jitayarishe, ili nikusindikize.” Basi Sauli akajitayarisha na yeye pamoja na Samweli wakatoka nje.
-