-
1 Samweli 10:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Kisha utafika kwenye kilima cha Mungu wa kweli, mahali ambapo pana kambi ya kijeshi ya Wafilisti. Utakapofika jijini, utakutana na kikundi cha manabii wakishuka kutoka mahali pa juu, na kinanda na tari na filimbi na kinubi vitapigwa mbele yao huku wakitoa unabii.
-