-
1 Samweli 10:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mara tu Sauli alipogeuka ili amwache Samweli, Mungu akaanza kuubadili moyo wake uwe kama wa mtu mwingine, na ishara hizo zote zikatimia siku hiyo.
-