-
1 Samweli 10:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Watu wote waliomjua awali walipomwona akitoa unabii pamoja na manabii, wakaulizana: “Mwana wa Kishi amepatwa na nini? Je, Sauli pia ni mmoja wa manabii?”
-