-
1 Samweli 10:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Sauli akamjibu: “Alituambia kwamba tayari punda wamepatikana.” Lakini Sauli hakumwambia jambo ambalo Samweli alisema kuhusu ufalme.
-