-
1 Samweli 11:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Nahashi Mwamoni akawaambia: “Nitafanya agano pamoja nanyi kwa sharti hili: macho yenu yote ya kulia yang’olewe. Nitafanya hivyo ili kuwaaibisha Waisraeli wote.”
-