-
1 Samweli 11:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Wazee wa Yabeshi wakamwambia: “Tupe muda wa siku saba ili tuwatume wajumbe katika eneo lote la Israeli. Na ikiwa hakuna yeyote wa kutuokoa, tutajisalimisha kwako.”
-