-
1 Samweli 11:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Lakini Sauli alikuwa akitoka shambani akiwa nyuma ya mifugo yake, naye akauliza: “Watu wana shida gani? Kwa nini wanalia?” Basi wakamwambia maneno yaliyosemwa na watu wa Yabeshi.
-