-
1 Samweli 13:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Lakini mara tu alipomaliza kutoa dhabihu ya kuteketezwa, Samweli akafika. Kwa hiyo Sauli akaenda kumpokea na kumbariki.
-