1 Samweli 13:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Kisha Samweli akainuka na kupanda kwenda zake kutoka Gilgali mpaka jiji la Gibea la Benjamini, naye Sauli akawahesabu watu; wale waliobaki naye walikuwa wanaume wapatao 600.+
15 Kisha Samweli akainuka na kupanda kwenda zake kutoka Gilgali mpaka jiji la Gibea la Benjamini, naye Sauli akawahesabu watu; wale waliobaki naye walikuwa wanaume wapatao 600.+