1 Samweli 13:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Na siku ya vita, hakuna yeyote kati ya watu waliokuwa pamoja na Sauli na Yonathani aliyekuwa na upanga wala mkuki mkononi mwake;+ Sauli na Yonathani mwanawe ndio tu waliokuwa na silaha.
22 Na siku ya vita, hakuna yeyote kati ya watu waliokuwa pamoja na Sauli na Yonathani aliyekuwa na upanga wala mkuki mkononi mwake;+ Sauli na Yonathani mwanawe ndio tu waliokuwa na silaha.