-
1 Samweli 14:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Basi Yonathani akapanda kwa mikono na miguu yake, na mtumishi wake aliyembebea silaha alikuwa nyuma yake; na Yonathani akaanza kuwashambulia na kuwaangusha Wafilisti, na mtumishi wake aliyembebea silaha alikuwa akiwaua nyuma ya Yonathani.
-