1 Samweli 14:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Ndipo hofu ikaenea katika kambi iliyo shambani na miongoni mwa watu wote waliokuwa katika kituo cha ulinzi, na hata makundi ya wavamizi+ yakashikwa na hofu. Dunia ikaanza kutetemeka, kukawa na hofu kubwa kutoka kwa Mungu. 1 Samweli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 14:15 w07 9/15 18 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 14:15 Mnara wa Mlinzi,9/15/2007, kur. 18-19
15 Ndipo hofu ikaenea katika kambi iliyo shambani na miongoni mwa watu wote waliokuwa katika kituo cha ulinzi, na hata makundi ya wavamizi+ yakashikwa na hofu. Dunia ikaanza kutetemeka, kukawa na hofu kubwa kutoka kwa Mungu.