-
1 Samweli 14:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Sauli akawaambia watu waliokuwa pamoja naye: “Tafadhali, wahesabuni watu, mwone ni nani aliyetuacha.” Walipohesabu, wakagundua kwamba Yonathani na mtumishi wake aliyembebea silaha hawakuwepo.
-