-
1 Samweli 14:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kwa hiyo Sauli na watu wote waliokuwa pamoja naye wakakusanyika na kwenda vitani, na huko wakapata kwamba Wafilisti walikuwa wameshambuliana wenyewe kwa wenyewe kwa mapanga yao, na machafuko yalikuwa makubwa sana.
-