-
1 Samweli 14:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Pia, Waebrania ambao awali waliwaunga mkono Wafilisti na walioingia pamoja nao kambini walienda kujiunga na Waisraeli chini ya usimamizi wa Sauli na Yonathani.
-