-
1 Samweli 14:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Watu walipoingia msituni, waliona asali ikidondoka, lakini hakuna yeyote aliyethubutu kunyoosha mkono wake ili kuila, kwa sababu waliogopa kile kiapo.
-