-
1 Samweli 14:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Hata hivyo, Yonathani akasema: “Baba yangu ameleta shida kubwa nchini. Angalieni jinsi macho yangu yalivyong’aa nilipoonja asali hii kidogo.
-