-
1 Samweli 16:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Akajibu: “Nimekuja kwa amani. Nimekuja kumtolea Yehova dhabihu. Jitakaseni, mje pamoja nami kwenye dhabihu.” Kisha akamtakasa Yese na wanawe, halafu akawaalika kwenye dhabihu.
-