-
1 Samweli 16:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Basi Yese akapakia mikate, kiriba cha ngozi chenye divai, na mwanambuzi juu ya punda, akamtuma Daudi mwana wake kwa Sauli akiwa na vitu hivyo.
-